Trending News>>

Good news unayotakiwa kuifahamu ambayo huenda ulikuwa huifahamu..!!!!!!

Kwa watu wangu wa ukweli ambao ama wao au watu wao wa karibu wamehitimu masomo ya Kidato cha Nne na Sita na wanatafuta Vyuo vya Elimu ya Juu ili kujiendeleza kimasomo.
Hii ni GOOD NEWS kutoka St. John’s University of Tanzania (SJUT) ambayo nimekuwekea hapa chini ili ikufikie mtu wangu..

No comments:

Powered by Blogger.