Trending News>>

Breaking News:: Kamati ya utendaji ya TFF yaahirisha uchaguzi ...

Kamati ya Utendaji ya TFF imeahirisha uchaguzi hadi hapo itakapokutana Julai 4, mwaka huu.
Imeelezwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kukiuka taratibu.

Kichekesho hicho kimetolewa leo, ikiwa ni siku moja baada ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi kufanya juhudi za Rais wa TFF, Jamal Malinzi afanyiwe usaili licha ya kuwa mahabusu.

No comments:

Powered by Blogger.