Zitto achoshwa na Mauaji Kibiti
Watu 2 wanahofiwa kuuawa kwa kupigwa
risasi katika kijiji cha Mangwi wilayani Kibiti kuamkia leo, Kamanda
Lyanga amesema wanafuatilia tukio hilo ili kujua ukweli wake.
Mbunge Zitto
Kufuatia
taarifa hizo za kuuawa kwa watu wawili Mbunge wa Kigoma mjini Mhe.
Zitto Kabwe amefunguka juu ya mauaji yanayoendelea kutokea mkoa wa Pwani
eneo la Kibiti kwa kuitaka serikali itazame jambo hilo kwa mtazamo
mpana kwa kuwa wananchi wana haki ya kujua nini kinachoendelea juu ya
mauaji hayo.
Zitto amebainisha hayo kupitia ukurasa wake Facebook huku akidai kuwa Usiku wa kuamkia leo yameweza kutokea mauaji mengine ambayo yamepelekea kuuwawa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mangwi kata ya Mchukwi na Mwenyekiti wake kwa kupigwa risasi na baadaye kuchomwa moto nyumba zao.

No comments:
Post a Comment