Trending News>>

Victor Lindelof. Atua Manchester United rasmi. amwaga wino mrefu


Baada ya kuisaka kwa muda mrefu saini ya beki wa kati ya Benifica Fc, hatimae klabu ya Manchester United imefanikiwa kumnasa beki huo aliyekuwa tegemeze kutoka benifica jioni ya jana jun 14
Manchester united itamuunganisha mchezaji huyo akiwa na usaidizi wa Baily na Marcos Rojo ikiwa ni sehemu ya kuimarisha ukuta wa mashetani hao wekundu baada ya Chris Smalling kuwekwa sokoni.

Machester United bado inaendelea kuifatilia saini ya Alvado morata na James wote wakitokea klabu ya Real Madrid iliyo twaa kombe la ligi na UEFA msimu uliyo pita.
Powered by Blogger.