SIMULIZI :: Jini Mahabati Sehemu ya Ishirini na Moja (Kwa wenye miaka 18+)
SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
MTUNZI: MANYAMAJR
AGE: 18+
ILIPOISHIA
“Msuli , msuli umenishika alisema Radhia mara baaada ya huyo mzee kumsogelea. Mzee wa watu kwa kuwa alikuwa ni mwana michezo anayejua maumivu ya misuli alijikuta akianza kumpiga piga kwenye mapaja ili kuondoa maumivu hayo ya msuli..Hapo Radhia akapata nafasi nzuri ya kupandisha zaidi kinguo chake na kutoa maelekezo kuwa apigwe pigwe sehemu ya juu. Mzee alishangaa maana sehemu hizo alizoambiwa azipe tiba hazikuwa zenye msuli bali steki zilizonona kama ndafu ya sikukuu.Radhia akajigeuza kwa nguvu na kumvutia mzee wa watu kitandani.
SONGA NAYO.
Ilikuwa hakuna cha kusema subiri nizime taa wala nini, Radhia alimkunja mzee huyo utazani alikuwa akimdai. “Wewe mtoto una nini alilamika mzee huyo wakati Radhia akifanya yake. Safari hii hakutaka mbwembwe alipitisha mkono kwenye bustani ya mzee huyo na kuanza kutafuta mlinzi wa bustani hiyo. Akakutana na kirungu cha mmasai kilichosimama vizuri tayari kwa kukamata mwizi. Radhia akakichomoa hicho kirungu cha siri na kukileta juuu.
Mapigo ya moyo ya mzee huyo yakaongezeka. Uchu wa kutaka kuonja utamu utamu wa vanilla ukamkolea lakini woga nao ulimjaa maana alihisi kuwa alikuwa akitegwa. “Yaani kama nyumba hii na yenyewe imetegwa kamera basi ndo mwisho wa kazi yangu” alijismea mzee huyo kabla ya kutoa ushirikiano ambao Radhia alikuwa akiuhitaji..
Wakaanza purukushani za hapa na pale za kuwekana sawa. Mzimu wa Barike ukawa kama umewapanda wote maana sio Radhia sio huyo mzee wote walikuwa na uchu wa ajabu. Nusu, nusu kama wimbo wa Joh Makin ndo ilikuwa staili ya mda na wakati kama huo. Kulikuwa hakuna haja ya kuvuana nguo zote, bali ilikuwa ni kutafuta tu upenyo ambao ungeruhusu kushare vitu wavionavyo. Yani kama ni huduma ya internet basi walikuwa wakitafuta sehemu ambayo ilikwa na high speed ya 4G. Kukurukakara za mda mchache hata usiozidi dakika moja ulitosha kabisa kutimiza walichodhamira kukifanya. Tayari sindano ya dereva ilikuwa ndani ya nguo ya Radhia ikishona kwa madahaa na ufundi wa kizamani.
Kama unavyojua ng’ombe hazeeki maini na uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu darling. Mzee akafanya yake huku akifanya fujo ili awahi kumaliza asije akakutwa hapo. Mauno ya ngono ya bint huyo yakamchanganya kabisa mazee wa watu akahisi amerudishwa enzi za mkewe akiwa mbichi kama nyanya ng’ong’o. Radhia naye kwa kuwa alikuwa anajua mzee huyo ni dereva mzuri basi na yeye akaweka mazingira mazuri ili mzee huyo aweze kucheza vizuri na gari yake. Yaani alikaa mkao ulioruhusu kuingiza na kutoa gia.. Ile mzee anataka kupiga honi alisikia kama mtu akija kwenye chumba hicho.
Wote kwa pamoja wakatulia ili kusikiliza ni nani atakuwa anakuja. Hakukuwa na dalili yoyote kuwa kuna mtu alikuwa anakuja. Radhia akaamua kuhakikisha hilo kwa kujinyanyua pale kitandani na kwenda moja kwa moja mpaka mlangoni kuhakikisha je ni nani alikuwa anakuja bado hakuona mtu. Kwa haraka haraka akajua ni vituko tu vya jinni mahaba. Radhia kwa kuwa ule muwasho wake ulikuwa bado haujaisha hivyo akaamua kurudu ndani. Akaamua kufunga kabisa mlango. Alishangaa kumkuta dereva akianza kuvaa nguo zake ambazo zilikuwa vimevuliwa kimtindo. Radhia hakutaka eti kumwacha mkunaji aondoke wakati kwanza muwasho wake ulikuwa haujaisha.
Akamkrupukia na kumvamia pale kwenye kifua na kuanza kumpapasa papasa sehemu hizo.
“Tafadhali Radhia naomba tuende tu hospitali maana huo ugonjwa wako mimi siwezi kuutibu” alisema mzeee huyo. “Raundi moja tu tafadhali alafu ndo tuende huko hospitali” Radhia aliasema huku akimwangalia kwa macho ya kusinzia. Aliyakumu sio matusi mzee wa watu alikuwa kanogewa na utamu alioonjeshwa. Baada ya kuona mlango umefungwa akajua kutakuwa na usalama wa kutosha hivyo akaamaua kutenda tena dhambi ya kuzini kwa mara ya pili. Mzee alifurahishwa sana na utamu wa binti huyo na hakuamini eti siku moja angeweza kufanya naye mapenzi kwanza kiumri alikuwa amemzidi mbali sana.
Wakaendelea kufanya upuuzi wao huku mzimu wa Barike ukiwa pembeni ukisubiri tu mzee afunge bao na wao waondoke na mpira wao. Kumbe ule mshindo mdogo wa mtu kutembea ulikuwa ni wa binti yule mfanyakazi amabye aliamua kutoka na kuenda choooni. Shingo ilikwa bado imemekakamaa na alikuwa akipatwa na maumivu makali sana. Akiwa chooni kuna sauti nyororo ilimjia masikioni mwake. “Twajua hauna makosa na tulikuwa tunakupa onyo tu kuwa kamwe usijaribu kumfuatilia Radhia yatakukuta makubwa zaidi ya haya” Kisha ile sauti ikaondoka na kumfanya yule binti kukurupuka kutoka huko maliwatoni.
Akajaribu kugeuza geuza shingo yake na kukuta ipo sawa na wala haimuumi tena. Ile sauti ikawa bado inamrudia rudia hasa kile kipengee kuwa hilo ni onyo.
Binti huyo akaamua kukaaa pale sebuleni na alisema Kamwe hatomuuliza kitu Radhia ata kama aakiona anafanya mapenzi na baba yake. Akiwa hapo sebuleni alishangaa kuona mlango wa chumba cha Radhia ukifunguliwa na akatoka binti aliyeridhiwa huku macho yake yakiwa yameorojeka utazani labda alitoka kwenye usingizi mwororo , usingizi ulioambatana na ndoto pevu. Radhia akamuuliza vpi umepona?. “Nimepona wangu na nimepewa dawa na ndugu zakoo. “Dawa na ndugu zangu?” dawa gani, ndugu wapi? Alihoji Radhia kwa taharuki na mshangao hasi. “Usishangae saana dawa yenyewe ni onyo na ndgu zako ni hao wanaokutuma kufanya hayo unayoyafanya” binti huyo alisema huku akiwa bado na wasiwasi kuwa huenda shingo ikakamaa tena kutokana na hiyo kauli aliyoitoa.
Radhia akampa ishara kuwa aende chumbani kwake mara moja. Lakini ishara hiyo haikueleweka na binti huyo akaendeea kukaa pale sebuleni. “Naomba uingie chumbani kwako mara moja kuna mgeni wangu anataka iangie na sitaki akuone ilibidi Radhia adanganye ili aweze kumtoa yule dereva kule chumbani kwake. “Kuna mgeni wako anataka aingie au kuna mgeni wako anataka atoke aliwaza binti huyo na kunyanyuka zake na kwenda chumbani.
Basi hiyo ikawa nafasi nzuri ya baba mtu mzima kutoka chumbani kwa Radhia. Radhia akabaki ndani akoana kutoka huku akiwa na shombo la mapenzi sio jambo zuri hasa kwa yeye mtoto wa kike mwenye kujijali na kujipenda.
Akakimbila bafuni akaoga haraka haraka kisha akatafuta nguo zingine za kuvaa. Sa hivi aliamua kuvaa gauni refu tena ni lile lilomchanganya Tariq siku ya kwanza anaripoti chuoni. Lile gauni likuwa ni refu lakini linamnaba na kuonesha mautamu yake. Mimi napenda kuziita nguo zenye heshima zisizokuwa na heshima. Akatoka akamuaga yule binti mwingine kuwa anaenda hospitali.
Wakaingia kwenye gari nasafari ya kwenda hospitali ikaanza.Wote kwenye gari walikuwa kimya sana huku Radhia bado akiendelea kuvuta taswira ya mambo ya kipuuzi aliyafanya siku mbili hizo tu tangia aanze likizo yake. “Sasa nikiendelea hivi sinitawamaliza wanaume wote Radhia aliwaza huku akimwangalie yule dereva. “Aka kazee nacho inaelekea enzi zake kalikuwa ni hatari sana yaani watoto wa kike walikuwa wakimfaidi sana. Aliendelea kuwaza na kuwazua binti huyo.
Walifika hospitalini na moja kwa moja Radhia alishuka na kuingia kwa huyo daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake. Alikuwa na hamu ya kujua kwa nini haoni mzunguko wake wa hedhi kwa mda mrefu sana au ndo tayari anaujauzito wa kijini. Akasema atajaribu kumueleza vitu vinavyomsumbua daktari huyo ili aone kama anaweza kumsaidia. Wakati anaingia tu simu yake ya mkononi ikaita. Kuangailia ilikuwa ni Tariq akipiga. Radhia akasita kuipokea. Mara ukaingia ujumbe mfupi wa maneno ukimueleza kuwa apokee simu kwani Tariq ana matatizo mazito.
***ITAENDELEA***
No comments:
Post a Comment