Trending News>>

PICHA 3: Jux amemaliza masomo yake China


 PICHA 3: Jux amemaliza masomo yake China

Inawezekana ukawa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakijiuliza kama kweli Jux anasoma China mbona picha zake za shule hajawahi kuonesha?

Basi leo Mwimbaji wa Bongofleva @africanboyJUX amehitimu masomo yake nchini China, na ameonyesha picha mbalimbali za graduation.

No comments:

Powered by Blogger.