Trending News>>

Ndege ya kivita yapotea Malaysia

Taarifa iliyotolewa ni kwamba ndege ya kijeshi hiyo ilianza safari yake majira ya saa 5 asubuhi na baada ya kuwa angani kwa dakika 30 hivi ikapoteza mawasiliano na kambi ya jeshi .

Shughuli ya kutafuta ndege hiyo imeanzishwa mara moja .

Waziri wa ulinzi wa Malaysia  Hishamuddin Hüseyin aliandika ujumbe wake kupitia Twitter na kufahamisha ndege hiyo kupotea huku akitoa wito kwa dua kwa usalama wa rubani wa ndege hiyo.
Powered by Blogger.