Trending News>>

Audio: Chid Benz ft Q Chillah - Muda | Download & Listen

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu katika game la muziki wa bongo, Hatimae the king kong kutoka pande za ilala Chidi Benz amekuja upya katika hii mpya ya muda.

MANYAMAJR inakukaribisha kupakuwa ngoma mpya ya Chidbenz chuma aliyomkaribisha Qchilla kwenye hii waliyompa jina la 'MUDA'

No comments:

Powered by Blogger.