Trending News>>

SIMULIZI :: Jini Mahabati Sehemu ya Kumi na Tisa (Kwa wenye miaka 18+)



SIMULIZI : JINI MAHABATI
SEHEMU YA KUMI NA TISA
MTUNZI: MANYAMA EJG.
AGE: 18+
ILIPOISHIA
Mmasai hakutaka mambo ya kuvuana nguo maana aliogopa wanaweza kukamatwa mda wowote hivyo akapoteza kibarua chake. Basi na yeye akaanza kumchezea binti huyo kwa staili ya kipekee. Alimnyanyua kwa nguvu na kumuweka juuuu ya meza ambayo ilikuwa hapo sebuleni. Hapo Radhia alimng’ang’ania kwa nguvu huku mapigo yake ya moyo yakiongezeka. Sio mapigo ya moyo bali hata ule mshawasho ukawa unaendelea kumkereketa.****
SONGA NAYO.
Mmmmh moran si akachukua upinde wa kufuli wa Radhia na kuuweka pembeni kwa kutumia dole gumba lake. Yaaani aliweka kinguo hicho cha ndani pembeni kabisa ya shavu la mdomo wa siri wa binti huyo. Mmasai hakuishia hapo akaendeleza mbwembewe kwa kutia dole lake na kujaribu kupima kina cha maji kwenye kisima cha binti huyo.
Akiingiza taratibu pande za juu za kisima hicho kisha akamuuliza maneno ya ajabu ajabu. “Wenye binti iko na wakika kuwa wataka nikupe dawa ya kimasai? “Mmmmmm,, iiiisssssssssss,,,oooooooooooh nipe tu nipe tu mti wa kimasai alilalamika Radhia mara baada ya moran wa kimasai kuanza kuzungusha zungusha kidole chake kwenye kisima cha binti huyo.
Moran wa mjini akaichukua miguu ya binti huyo na kuiweka mabegani mwake. Migugumio ya Radhia ikaongezeka na alikuwa akiitafuta sana hiyo dawa ya kimasai. Hapo morani hakuchelewesha akatoaa sime yake na kuingiza kwenye ala ya Radhia.
Kweli ya kimasia tamu maana Radhia alifunga funga macho na kufungua. Utamu unakuja utamu unakata yaaani alitamani kuomba poo kwa jinsi mmasai huyo alivyokuwa akisugua kwa nguvu utazani labda alikuwa akikimbiza simba porini. Cha ajabu na mbio zote hizo badala ya kisima cha Radhia kukauka ndo kwanza kilikuwa kinatoa machozi ya chemechem yalikuwa yakivutika vutika na kuteleza.
Kuteleza kuteleza huko kulimrahisishia sana morana akawa anateleza tu yaani anaingia na kutoka bila mkwamo wowote.
“Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii……jamaaaaaaani…..shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii……ashanteeeeeeeeeeeee…….ni-pe yo-te be-ibeeeee…..nipombe mpenzi…chukua yote kabisaaaaa……twende beibeeee, ni-chakaze kabisa mpenzi wa-nguuu..”
Yalikuwa ni maneno ya utumbo kutoka kwa binti huyo. Yalifurahisha kweli yaani Radhia ameanza kuomba pombe tangia lini mtoto wa kiislam kama anasema eti nipombe tu yaani alitaka kupombeka vya kutosha kwenye tasnia hiyo ya mapenzi na utundu wa morani. Sauti hizo zilifanikiwa kumfikia mfanyakazi wa ndani ambaye mda huo alikuwa akirudi kutoka sokoni alipoenda kufanya shoping ndogo ya vitu kwa ajili ya maakuli.
Hakuamini anachokisia hivyo aliamua kusogea kabisa mpaka kwenye chumba cha binti huyo. Kwa bahati nzuri mlango ulikuwa wazi hivyo ilikuwa haina haja ya kutumia dalubini maana kila kitu kilikuwa kikionekana laivu bila chenga.
Macho yakamtoka asiamini kama aliyekuwa akingonoka ni yule Radhia ambaye ni jana tu alitoka kufanya majanga kama hayo na kusababisha Shabani mfanyakazi wao kurudishwa kwao usiku wa giza nene. Kwa jinsi Radhia alivyokuwa akikata mauno kwa kweli hata yeye alipendezwa na kuvutiwa na kamchezo hako. Akatamani na yeye kama angeonja utamu utamu wa morani wa kimasai.
“yaani mimi kila siku nipo na huyu mlinzi sijawahi kupewa vitu kama hivyo huyu kaja jana tu na amefaidi penzi la morani” aliwaza binti huyu huku akiendelea kushuhudia maujanja ya kimasai. Alistaajabu sana kwa jinsi Radhia alivyokuwa akifurahia penzi hilo.
Wakawa wamechoshwa na staili hiyo hivyo ikawalazimu kugeuka na kubadilisha staili. Hapo sasa Radhia akafanikiwa kukutanisha macho na mfanyakazi huyo wa ndani. Wala Radhia akushutuka ndo kwanza akawa anamalizia raundi hiyo ya mwisho.
Kwa kuwa mmasai alikuwa amempa mgongo mfanyakazi huyo hapo Radhia akatumia ishara kumuelekeza binti huyo arudi huko alipotoka. Kweli Radhia ni zaidi ya madata Lubigisa maana alikuwa hana aibu katika mambo hayo kabisa. Wakajipinda na kujipindua kabla ya kila mtu kutosheka na chalula hicho ambacho haikukutarajiwa kupikwa siku hiyo.
Morani wa kimasai mara baada ya kuona ameshatoa dawa ya kabila lao akaamua kutoka mdogo mdogo na kuelekea getini. Yule mfanyakazi naye ikabidi aende kumpa pongezi ingawa kitendo walichofanya hakikuwa cha kiungwana.. “Aisee hongera sana lazima leo utaota maana umekula kuku wa mayai anayechungwa na kulindwa na mitambo mikali Moran akabaki anacheka tu maana hata yeye hakuamini kama kweli amemkula mtoto wa boss wake. “Acha muneno muneno rafiki fanya kama iko haijaona kitu yeyote” alisema masai huku akisogea eneo hilo.
Maana alijihisi kama ni mkosaji aliyeiba vitu vya tajiri yake. Yule mfanyakzai akaona hakuna haja ya kuendelea kumvumilia Radhia akaamua kumfuata huko chumbani kwake. Alienda ili kumuuliza kwani alikuwa na matatizo gani maana jana usiku alifanya utumbo na leo tena amerudia utumbo uleule jamani hata kama ni hamu hii ya kwake itakuwa imezidi aliwaza binti huyo na kwenda moja kwa moja kwenye chumba cha Radhia.
Alimkuta Radhia akiwa amejilaza hapo kitandani kizembe zembe ishara kuwa alikuwa amechoka sana. “Ebuu angalia jinsi binti huyu alivyokuwa mrembo ni kweli anashindwa kutafuta mwanaume wa hadhi yake mpaka anatembea na hawa vikaragosi wenzangu” aliendelea kufanya mazoezi ya ubongo kwa kujiuliza maswali ambayo hakuwa na majibu nayo.
Akazidi kumkagua bintii huyo aliyejaliwa maungio mazuri kutoka kwa Mungu na sio maaungio tu bali ata muatamu mengine. Akasogea zaidi kisha akamtupia shuka ili ajisitiri. Radhia akanyanyua macho kizembe akamwangalia juu mpaka chini kisha akamuuliza unasemaje bibiee. “Radhia wewe ni mdogo wangu kiumri. Nimekutangulia kuliona juu hivyo naomba unisikilize kwa umakini” alianza dada huyo kuweka usikivu kuonesha alikuwa na jambo la muhimu sana kuongea na binti huyo..
“Nayajua hayo yote uyasemayo hivyo endelea tu”. Alisema Radhia. “Nahisi Radhia una matatizo kabisa tena matatizo mazito yanayohitaji msaada wa hali ya juu. Ujue wewe umekuja jana lakini mpaka leo ushazini na wanume wawili tena ambao sio hadhi yako.. “Unahisi labda nina matatizo gani” aliuliza Radhi na kumkata kauli. “Hayo ya kufanya vitu vya ajabu bila aibu wala uwoga wowote” alijibu mfanyakazi huyo kwa sauti ya ujasiri. “Ndio maana nikakuuliza unahisi nina matataizo gani?.. “Radhia utakuwa umelogwa kama sio unajini linalokutoa ufahamu na kukufanya ufanye mambo ya ajabu namna hiyo. “Unahisi unaweza kunisadia nikaweza kuondokana na hili tatizo” aliuliza Radhi kwa sauti ya upole uliopitiliza.
Radhia alikuwa akimuheshimu sana huyu dada hivyo aliamua kujishusha na kumsikiliza. “Njia rahisi ni kuripoti swala hili kwa wazazi au viungozi wa dini. “Sasa shosti unahisi nitaanza vipi kuwaambia wazazi swala hili” alihoji Radhia. “Mimi nitakusaidia alisema mfanya kazi huyo na hapo hapo hali yake ikaanza kubadilika. Alihisi kama kuna kitu kizito kimemkaba shingoni.
****ITAENDELEA***

No comments:

Powered by Blogger.