SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU.TV:
Wakazi wa eneo la Vingunguti wanaoishi kando ya mto Msimbazi jijini Dar
es Salaam wameiomba serikali kunusuru maisha yao kutokana na maji ya
mto huo kusomba nyumba zao. https://youtu.be/9o4_hG9dzWs
SIMU.TV:
Rais Dr. John Pombe Magufuli amewahakikishia wafanyabishara na
wawekezaji kutoka shirikisho la taifa la utengenzaji wa mitambo ya
viwanda kutoka China kuwa serikali itawapa ushirikiano wa kutosha katika
kuwekeza hapa nhini. https://youtu.be/Omcq06LUebQ
SIMU.TV:
Serikali mkoani Ruvuma imemuagiza meneja wa TANESCO mkoani humo kutoa
maelezo kutokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara mkoani humo. https://youtu.be/K7aFYECodMo
SIMU.TV:
Jeshi la kujenga taifa JKT limechagua vijana waliohitimu kidato cha
sita mwaka huu kuhudhuria mafunzo ya jeshi hilo kuanzia tarehe 25 mwezi
huu wa tano. https://youtu.be/I93XGVdnDCw
SIMU.TV:
Serikali mkoani Mara imesema itawasaidia wajasiriamali wadogo
kuendeleza viwanda vyao pamoja na kuvifufua viwanda vyote
vilivyofungwa. https://youtu.be/X0bJo181iX4
SIMU.TV:
Zaidi ya wakulima elfu tano wa mazao ya biashara kutoaka vyama vya
msingi mkoani Iringa wameziomba taasisi za kibenki nchini kuangalia
namna bora ya kuboresha mikopo kwa wakilima. https://youtu.be/yvYKVaGIzds
SIMU.TV:
Mshindi wa shilingi milioni kumi katika droo ya saba ya BIKO Sospeter
Muchunguzi amesema kuogopa kucheza BIKO ni kukaribisha umaskini. https://youtu.be/0nc0ibr94bA
SIMU.TV:
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuph Manji amethibitisha kujiuzulu
nafasi yake ya uenyekiti na kumuachia aliyekuwa makamu wake. https://youtu.be/Bc1hluSTjJQ
SIMU.TV:
Timu ya taifa ya vijana ya Serengeti boys inatarajiwa kuondoka nchini
Gabon usiku huu kurejea nchini baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya
fainali za vijana barani Afrika. https://youtu.be/5IiRGtsYNDQ
SIMU.TV:
Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Sportpesa leo imetiliana saini na
klabu ya Singida United ili kuidhamini klabu hiyo kwa muda wa mwaka
mmoja. https://youtu.be/JiT0ryiM3Qk
SIMU.TV:
Timu ya taifa ya Senegal imeanza vyema kwa michuano ya kombe la dunia
kwa vijana baada ya kuichapa Saudi Arabia magoli mawili kwa sifuri. https://youtu.be/OsMaB6Dno88
Tanzania leo inatarajia kuungana na mataifa mengine duniani kuadimisha siku ya ugonjwa wa fistula duniani. https://youtu.be/My3fcPUm39k
Zaidi ya ng’ombe 4052 wameondolewa katika vyanzo vya maji kama sehemu ya kudhibiti uharibifu wa mazingira mkoani Katavi; https://youtu.be/7rTqDBZ0Zz0
Inaelezwa kuwa ajali nyingi za pikipiki mkoani Tabora zinasababishwa na vijana wengi kutozingatia sheria za usalama barabarani; https://youtu.be/Pe4wKVdkbnc
Fuatilia
kwa kina mahojiano ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuhusu
changamoto za kimaendeleo mkoani Dar es Salaam; https://youtu.be/qzPyMEJ7Rg0
Je, ni
lini serikali itiapandisha hadhi barabara ya Mtili mpaka Mpangatazara ?
Hapa naibu waziri wizara ya ujenzi anatoa ufafanuzi. https://youtu.be/MCHgpJI9baE
Je, ni lini serikali itakamilisha ujenzi wa barabara kutoka kibaoni hadi mkoani Sonwge ? hapa naibu waziri anatoa ufafanuzi. https://youtu.be/a0SIzk525A0
Ufafanuzi
wa serikali kutoka kwa naibu waziri wizara ya elimu kuhusu shirika
lisilo la kiserikali kujenga chuo cha ufundi katika kata ya Chuma. https://youtu.be/xKBjbwJ0tvI
Waziri wa mambo ya ndani Mhe.Nchemba akifafanua kuhusu malipo ya askari polisi wanaohamishwa vituo vyao vya kazi. https://youtu.be/pWsS-x4pw8o
Je,
serikali ina mpango gani wa kushirikiana na halmashauri ya wilaya ya
Ukerewe kuboresha vituo vinavyopatikana wilayani humo? hapa naibu waziri
anatoa ufafanuzi. https://youtu.be/zoTuX-iWGXM
Je, ni
vijana wangapi waliojiunga na jeshi la kujenga taifa kwa miaka 3
iliyopita? hapa waziri Mh. Hussein Mwinyi anatoa ufafanuzi. https://youtu.be/KFb9gNh4mgo
je, serikali imejipanga vipi kukabiliana na tatizo la uvuvi haramu nchini? Hapa naibu waziri Mh. Ole Nasha anatoa kufafanuzi. https://youtu.be/1CRPBMU3eRY
No comments:
Post a Comment