Trending News>>

Mtoto wa Marehemu Ivan na Zari aandika ujumbe huu mzito akimuhusisha SIMBA


Kupitia Ukurasa wa Instagram Mtoto wa Marehemu IVAN, Raphael Junior ametumia ukurasa huo kuandika Jumbe nzito.
Mtoto huyo ambaye ni Mtoto wa Zari ambaye kwa sasa Yupo katika mahusiano na Mbongo fleva Diamond Platnumz, aliwea kutumia Picha ya Simba huku akiandika “Tough Situations Build Strong people”.

No comments:

Powered by Blogger.