Trending News>>

Stereo Akutana na Chemical live..Ampigia Magoti na Kumpa Maneno ya Kumtoa Nyoka Pangoni

Rapa Stereo ambaye siku za karibuni aliweka wazi nia yake na hisia zake juu ya kuhitaji kwa udi na uvumba penzi la Chemical jana wameweza kukutana live kupitia kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV kila Ijumaa kuanzia saa tatu usiku.

Rapa Stereo akipiga magoti kumuomba Chemical akubaliane na ombi lake.
Rapa Chemical na Stereo walikutanishwa pasipo wao kujua hivyo Stereo ilibidi aitumie nafasi hiyo kueleza hisia zake moja kwa moja kwa Chemical

Tazama video hii hapa uone jinsi mgumu Stereo anavyotema sumu kwa Chemical 

No comments:

Powered by Blogger.