Trending News>>

SAMATTA AMUANDIKIA UJUMBE HUU NDINDI BAADA YA KUSAJILIWA NA LEICESTER CITY

Nahodha wa timu ya taifa Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta ambaye anacheza katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji amemuandikia ujumbe wa kumtakia kila la kheri mchezaji mwenzake Wilfred Ndindi ambaye amesajiliwa na Leicester City ya Uingereza.
Wilfred Ndindi na Samatta
Kiugo huyo wa zamani wa Genk alitambulishwa rasmi na mabingwa hao watetezi wa taji la ligi Kuu Uingereza akiwa kama mbadala sahihi wa Ng’olo Kante aliyejiunga na Chelsea mwanzoni mwa msimu huu.
Wilfred Ndindi
Imedaiwa kuwa mchezaji huyo amesajiliwe kwa dau la Paundi milioni 15.

No comments:

Powered by Blogger.