Noma Sana..Alichokisema Kajala Baada ya Watu Kudai Mwanawe Ameonekana Kwenye Video Akifanya Mapenzi
Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ipo video iliyosambaa ambayo inamuhusu binti mdogo wa chini ya miaka 18 akifanya mapenzi na mtu mzima ndani ya Gari.
Paula Paul katika akiwa na watumishi wa Kajala Entertainment
Awali ilisemekana kuwa katika video ile binti aliyeonekana ni Paula Paul ambaye ni mtoto wa staa wa Filamu Tanzania Kajala Masanja ‘K’.
Kajala na mwanaye Paula
Paula katika pozi
Kupitia mtandao wake wa Instagram, Kajala amekanusha vikali taarifa juu ya video hiyo na kusema kuwa yule si Paula.
Puala na wazazi wake.
“Hey everyone….jamani mimi sina shida na mtu kama akinichukia au akinisema mimi kwa kitu chochote kile…kwasababu najua binadamu kuongea mmezoea..ila katika kuongea kwenu,kuingilia na kujudge my life naomba msimuingize mtoto wangu…sijawahi kumuomba mtu anisaidie kulea hata siku moja…mimi nimeona kuna video insambaa mnasema ni mwanangu na mnajua kabisa sie paula huyo ila ilimradi tu mfurahishe roho zenu…nilinyamaza…ila sasa naona mnakoelekea ni
pabaya..mnahisi yeye hana moyo? Au mnahisi haumii?.mwanangu anasoma na sitaki mumchanganye na mambo yenu ya kipuuzi…vitu vibaya mnavyo muombea mwanangu viwarudie wenyewe…leave my daughter alone jamani…give us a break..fanyani tu mambo yenu yatakayofanya mpate faida katika maisha”,ameandika Kajala.
No comments:
Post a Comment