Mapacha Waishi na Mwanamme Mmoja Kwa Furaha
MAPACHA wawili wa kike wanaofanana, waitwao Anna na Lucy, wameamua kuishi na mwanamme mmoja aitwaye Ben Bryne mwenye umri wa miaka 32 huko Perth, Australia.
Wanawake hao wanaishi na mwanaume huyo mmoja kwa kipindi kirefu huku wakishiriki tendo la ndoa pamoja kwani wamejichukulia kuwa mwili mmoja kwa kupendana na kutooneana wivu pindi mmoja wao awapo na mwanaume huyo.
“Ni mara yangu ya kwanza kuishi na marafiki wawili wa kike na wamekuwa waaminifu kwangu,” Byrne alimwambia mama yake.
Anna na Lucy wameandika rekodi mpya duniani ambapo vyombo vya habari vimekuwa vikiandika sana habari zao ambapo wamekuwa kivutio kikubwa hasa katika harakati za tasnia ya wanawake duniani. Watu wamekuwa wakishangazwa na mtindo wao huo wa maisha wa kuishi na mwanamme mmoja.
Watu wengi wamekuwa wakihoji ni jinsi Byrne ameweza kulala na wanawake wawili ambao ni mapacha wenye kufanana na akaweza kuwatofautisha!
Wakati huohuo, Anna na Lucy siku zote wameonekana wenye furaha kwa mtindo wao huo wa maisha ambapo wanavalia nguo sare na kutoka sehemu za burudani wakiwa pamoja na mpenzi wao.

No comments:
Post a Comment