Trending News>>

CHADEMA Kuliburuza Mahakamani Jeshi la Polisi kwa Kukinyima Chama Hicho Uhuru wa Kufanya Kampeni



CHADEMA kuliburuza Mahakamani Jeshi la Polisi kwa kukinyima chama hicho uhuru wa kufanya kampeni za uchaguzi wa udiwani.

Katika uchaguzi mdogo wa kata ya kiwanja cha ndege Jeshi la Polisi lilitumia mabomu ya machozi na kuwakamata wanachama kadhaa wa CHADEMA.

No comments:

Powered by Blogger.