Baada ya Marekani, hizi ni nchi nyingine za Ulaya Alikiba atafanya tour
Hapa nimekusogezea ratiba ya tour akazofanya kwenye bara la Ulaya ambapo ataanza na Ufaransa, Germany, Belgium, Switzerland, Sweden na Amsterdam kuanzia June mpaka July 2017.

Alikiba ataendelea kutupatia ratiba za tour hii kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, lakini pia mimi nitakuwa nakusogezea kila kitu hapa kwenye millardayo.com ili kuhakikisha haupitwi na chochote.
No comments:
Post a Comment