Trending News>>

Washtakiwa mauaji wafikia rundo


IDADI ya watu wanaoshtakiwa kwa mauaji ya watafiti wa Kituo cha Selian Arusha (Sari) katika Kijiji cha Iringa Mvumi Wilaya ya Chamwino, imeongezeka na kufika 29 baada ya watuhumiwa wapya 12 kuunganishwa kizimbani jana wengine 17.


Awali, kesi hiyo ilikuwa na watuhumiwa 17 ambao kila mmoja anakabiliwa na makosa matatu ya kuua kwa kukusudia.

Watuhumiwa walioongezwa ni Amos Kwanga, Mashaka Nyambi, Victoria Lungwa, Wilson Mabwai, Sarah Chimanga, Daud Mangwata, Peter Fwezi, Adrian Sudai, Charles Lemanya, Fredrick Sudai na Tibu Ng’ambi.

Wengine ni Bruno Lebedu, Jonas Makwawa, Erasto Masaka, Juma Chitongo, Cesilia Mwalu, Dorca Mbehu, Edna Nuno, Grace Masaulwa na Juma Madeha.

Source: Nipashe

No comments:

Powered by Blogger.