Trending News>>

Wanawake kupimwa bure saratani ya shingo ya kizazi hospitali ya Mwananyamala.

Akinamana waishio katika mkoa wa Dar es Salaam na viunga vyake kuanzia kesho wataweza kupimwa na kupata matibabu ya saratani ya shingo ya kizazi bure katika kampeni inayotarajiwa kumalizika Desemba 21.

Kampeni hiyo itaendeshwa na hospitali ya mkoa wa kitabibu ya Mwananyamala na taasisi ya kifedha ya Platinum Credit ikilenda kuhakikisha saratani hiyo ya shingo ya kizazi inatoweka nchini.

No comments:

Powered by Blogger.