Trending News>>

VIDEO:Msanii Darasa akiwa na Hanscana wapata ajali ya gari huko Kahama

Mwanamuziki Darasa amepata ajali maeneo ya Ntobo barabara yakuelekea mgodi wa Bullyanhulu wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga. Waliokuwa garini wote wamenusurika.

Katika gari hiyo pamoja na watu wengine alikuwa na mtayarishaji wa video aliye kwenye chart Hanscana.

TAZAMA VIDEO

No comments:

Powered by Blogger.