Trending News>>

TOP 10 YA NYIMBO ZILIZOTAZAMWA ZAIDI DUNIANI KATIKA YOUTUBE, SALOME YASHIKA NAMBA MOJA

Video ya wimbo wa Diamond Platnumz aliomshirikisha Raymond"Salome", ndiyo video ya muziki iliyotazamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube nchini Kenya, kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, kupitia takwimu ilizozipata.
Diamond PlatnumzBBC Swahili wamedai kuwa kwenye orodha ya nyimbo 10 kutoka duniani kote, nyimbo za Tanzania zimetazamwa zaidi. Takwimu hizo zinadhihirisha jinsi ambavyo Wakenya wanapenda muziki wa Bongo Flava kuliko nchi nyingine yoyote ukitoa Tanzania yenyewe.

Hadi sasa, Salome ina views zaidi milioni 9.8 kwenye mtandao wa Youtube.


Hii ni orodha kamili:

  • Salome – Diamond Platnumz na Raymond
  • Work – Rihanna na Drake
  • Bado – Diamond Platnumz na Harmonize
  • Sauti Sol – Unconditionally Bae, na Alikiba.
  • Work from Home – Ty Dolla Sign na Fifth Harmony
  • This is What You Came For – Calvin Harris
  • Kwetu – Raymond
  • Cheap Thrills – Sia na Sean Paul
  • Pillow Talk – Zayn
  • Ain’t Your Mama – Jennifer Lopez
Powered by Blogger.