Trending News>>

SIMULIZI YA KUSISIMUA KILA SIKU

SIMULIZI: DOKTA SIUMWI HUKO
SEHEMU: YA TANO
MTUNZI: Mr ManyamaJr
MAWASILIANO: 0767464766


ILIPOISHIA..
Toka siku hiyo, Dokta Kisarawe akawa anashinda akila karanga pamoja na kunywa mchuzi wa pweza kwa wingi, yote hiyo akiwa amempania Sulee atakapokuja siku ya tatu, kwani aliamini kwa vyovyote vile ni lazima aende peke yake.

OGELEA NAYO SASA; 
Kila mara Dokta Kisarawe hakuacha kumkumbuka Sulee;!

"Dah, yule ni mwanamke bwana," aliwaza Dokta Kisarawe jioni moja akiwa amejipumzisha.

"Halafu, si nilimwambia aje baada ya siku tatu;?," aliendelea kujiuliza maswali mengi.

"Eeh bwana; Ina maana kesho yupo hapa; Afadhali, kesho nitabimbilika naye tena" akaendelea kujikumbusha mwenyewe ndani ya chumba hicho.

"Twende mbele, turudi nyuma, aisee yule ni demu; Na hata muumba aliposema nitakufanyia msaidizi, alimaanisha yule; Kweli tena, fuatilia sana," Dokta Kisarawe akazidi kuzama kwenye mawazo hayo ya kujibizana na nafsi yake.

Dozi kali ya mchuzi wa pweza na karanga mbichi kwa wingi alizokuwa akizitumia Dokta Kisarawe, ziliendelea kumuweka sawa kwa ajili ya mechi kali ya kukata na shoka siku atakapokutana na Sulee.

"Mume wangu si unakumbuka dokta alisema nirudi baada ya siku mbili?" Sulee alimuuliza mumewe baada ya siku hiyo kufika.

"Kha! sasa mimi na wewe nani anapaswa akumbuke?," Masofa alimjibu kwa mkato na sauti ya kishari.

"Wote" Sulee naye akajibu kishari huku akimtupia jicho."Halafu wewe siku hizi mtata sana;"

"Nakumbuka basi, unasemaje?"

"Basi ni leo"

"Sasa ulikuwa unauliza au kunitaarifu?" Masofa alijibu lakini safari hii akiwa; siriasi’ zaidi.

Maisha ya Sulee na Masofa ndani ya ndoa yao, yalikuwa yameshaanza kuingia dosari.

Hii ni kutokana na hali ya Sulee kutopata ujauzito.

Sulee alinyamaza na kuendelea na shughuli zake. Masofa naye akaondoka kwenda kwenye mihangaiko yake ya kila siku.

Jioni ilipofika, Sulee alijiandaa kwa ajili ya kwenda kuonana na Dokta Kisarawe, moyoni akiwa amepania sana kupata tiba ya uhakika.

Akaianza safari ya kuelelekea kwenye zahanati ya daktari huyo. Alipofika alimkuta akiwa na mwanamke mwingine ndani, ikabidi asubiri nje.

Dakika moja baadaye, yule mwanamke aliondoka na kumpa nafasi Sulee kumuona Dokta Kisarawe;

"Niambie jamani," alisema Sulee huku akipanua mikono yake ili kumruhusu Dokta Kisarawe amkumbatie.

"Safi tu, mbona una furaha sana;?"

"Aah!, si nimefurahi kukuona jamani, au hupendi;?," Alijibu Sulee wakiwa bado wanaendelea kukumbatiana.

"Sijasema hivyo, vipi kwema lakini;?"

"Kwema tu, naona ulikuwa na mwanamke humu, naye ana tatizo kama la kwangu?"

"Hapana, kuna dawa nilikuwa namuelekeza, vipi mume mwenzangu mzima?," Alijibu Dokta Kisarawe lakini mikono yake ikianza kukosa utulivu mwilini mwa Sulee.

"Aah!, jamani sasaaa;," Sulee alijaribu kuuliza lakini tayari joto la miili yao lilikuwa likimuendea ndivyo sivyo.

"Sasa kwani nini tena jamani?," Dokta Kisarawe aliuliza huku mikono ikiendelea kuutalii kwa utundu wa hali ya juu sana mwili wa Sulee.

"Aaahh. mmh;," Sulee alishindwa kuvumilia utundu wa mikono ya Dokta Kisarawe ambaye sasa alikuwa amemsogeza karibu kabisa na kifua chake kuliko hapo awali.

Mikono ikashuka hadi kwenye kiuno cha Sulee kilichobinuka vyema na kujitenga kwa juu.

Akawa kama anakibinya kimtindo, hali iliyomfanya Sulee apige ukelele wa kuashiria kuguswa yalipo maruhani yake.

Dokta Kisarawe hakuishia hapo, sasa akawa anaparaza kifuani na kuzigusa nido kimtindo;

Sulee akawa anajinyonga huku naye akirudisha mashambulizi kwa kummiliki Dokta Kisarawe.

Ikafika wakati kila wakishikana, wanakuwa wanalegezana nguo taratibu, baadaye kila mmoja alijikuta akiwa kama alivyokuja duniani.

Dokta Kisarawe akamuweka sawa Sulee kwa chini na kuanza kuchimba chumvi kisimani hali iliyozidisha uraha wa ajabu kwa Sulee.

"Yes, yesiii..yee..eeesiiiii;..," Sulee alizidi kuitikia kila alichoulizwa na Dokta Kisarawe.

Wakati akichimba chumvi, mikono ya Dokta Kisarawe ikawa bize na kifua cha Sulee, alizishika nido na kuzizungusha, Sulee akawa hana cha kufanya, akatoa macho yake meupe na kuyazungusha huku na kule.

Sulee aliposhindwa na uzalendo, akamgeuza Dokta Kisarawe na kuikimbilia maiki yake, akaishika vyema na kuanza kuimba nyimbo mbalimbali tamu.

Dokta Kisarawe akawa anasikilizia utamu wa mashairi ya Sulee kwa kufuatisha alivyokuwa akiimba.

Muda wa sebene ukawadia, kila mmoja akamuweka sawa mwenzake. Mechi kali ikaanza.

ITAENDELEA…..!!

No comments:

Powered by Blogger.