Trending News>>

PATA RAHA KWA KUSOMA HADITHI KILA SIKU ILI UWEZE KUBURUDIKA ZAIDI NA KUELIMIKA

SIMULIZI: DOKTA SIUMWI HUKO
SEHEMU: YA KUMI NA MBILI
MTUNZI: Mr ManyamaJr
MAWASILIANO: 0767464766


ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
"Aaah, sasa dokta mbona unanishika huko tena...?" Monica aliuliza baada ya mikono ya dokta kushika yale matunda mawili yaliyokuwa yamesimama wima kifuani kwa Monica, wakati akisema hayo alikuwa akijigeuza na kusababisha kiti alichokalia kizidi kutoa mlio wa kuashiria kitu kisicho cha kawaida.

PAPARIKA NAYO SASA...
Licha ya kulalamika kwa kitendo cha Dokta Kisarawe kumgusa maeneo hatari, Monica hakuwa na upinzani mkubwa kwa mashambulizi ya daktari huyo mzoefu kwa kuwakwangua wanawake wasiokuwa na msimamo na ndoa zao, hakika Monica alikuwa amepatikana.

"Oooh, ophhhhuuu...," Monica alianza kulalamika kwa sauti ya kubana tofauti na alivyokuwa akilalama kwa sauti ya juu, sasa alianza kuhema kwa nguvu huku akigeuza macho yake makubwa na meupe.

Dokta Kisarawe akazidisha mashambulizi kwa kushika na kupapsa kila eneo alilohisi ni hatari kwa mwanamke huyo mrembo kuliko wote ambao dokta huyo aliwahi kuvunja nao amri ya sita.

"Kwa nini jamani dokta...?,"
 Monica aliuliza huku akimtazama Dokta Kisarawe kwa macho ya …; sasa umenibakiza nini? Si umalizie tu...'

"Aah, kwani nini tena jamani Monica...?"
"Sasa mbona unanishika huko bila lidhaa ya....nguuu....,"

Monica alihoji lakini hakuimalizia sentensi yake kwani tayari Dokta Kisarawe alikuwa amelishika tunda lake la upande wa kushoto na kulibinya huku akilinyonya mithili ya maembe nyonyo yale ya Tanga...

"Sasa si usubiriiiiii....," Monica akazidi kulalamika na kuongeza manjonjo ya kujikunja hali iliyomfanya Dokta Kisarawe alizidisha utundu mwilini kwa mwanamke huyo ambaye hakuwahi kuchubuliwa kwa mkwaruzo wa aina yoyote.

"Ok, sasa kama unataka mchezo si useme jamani dokta kuliko kuendelea kupeana mateso makali namna hii...," alilalamika Monica huku akizidi kuhisi hali ambayo hata kama ungekuwa wewe ni lazima uhitaji huduma tena ile ya haja.

"Kwani wewe hujui hadi niseme jamani...,"
 alihoji dokta, lakini safari hii Monica hakujibu chochote zaidi ya kuanza kutoa sauti ya kugugumia kutokana na utamu wa sukari guru aliyokua akionjeshwa na Dokta Kisarawe.

"Aaah, hapo sasa jamani dokta, umejuaje jamaniiiii...", Monica alilalama baada ya Dokta Kisarawe kushika maeneo ya nyonga na kufanya kama anayekamua jipu kwa staili ya kubinya kwa mapozi yasiyosimulika.

Baada ya mashambulizi ya dokta kumzidishia raha ya ajabu, Monica akaona isiwe taabu kwani tayari akilini mwake alikuwa ameshahisi kuwa hakukuwa na jambo jingine ambalo Dokta Kisarawe alihitaji zaidi ya mchezo wa baba na mama.

Akaanza kujibu mashambulizi kwa kujibu mapigo ya utundu wa ajabu. Kwanza alimuangalia Dokta Kisarawe kwa macho ya karibu tena bila kupapasa, akamkazia na kusogeza kabisa kinywa chake karibu na cha Dokta Kisarawe, hapo akatoa ulimi wake mpana uliojaa mate ya uchu.

Hakuishia hapo, akausogeza kabisa karibu na midomo ya Dokta Kisarawe na bila kujali harufu ya sigara iliyokuwa ikitoka kinywani mwake, Monica alitumbukiza ulimi wake mdomoni na kuanza kuuviringisha kila kona.

Utalaamu alioutumia kuchezesha ulimi wake kwa mbwembwe zaidi mdomoni, hali hiyo ilimtia wazimu Dokta Kisarawe na kuanza kugugumia kama dume la njiwa lililotoka malishoni.

Dokta Kisarawe akazidi kutoa sauti ambayo haikueleweka.

Monica naye akiwa na hali mbaya ya mhemko kutokana na kuchezewa kwa muda mrefu na mikono ya Dokta Kisarawe ambayo alikuwa akiipitisha maungoni kwake kwa ufundi na umaridadi wa kiwango cha juu.

Bila kutarajia, wailjikuta wakiwa wameegemea kitanda cha kulaza wagonjwa huku kila mmoja akiwa anahema kama aliyetoka kukimbia mbio ndefu za marathoni.

"Baby...," Monica aliita huku akiushika mkono wa kushoto wa Dokta Kisarawe na kuupitisha katika tunda lake la kulia na kuanza kumwelekeza jinsi ya kulipikicha kwa ustadi mzuri, kitendo cha dokta huyo kuanza kupita juu ya eneo jeusi lililokuwa likizunguka kikonyo cha tunda hilo.

"Basi, basiiiii, basiiiiii jamaniiii...," Monica uzalendo ulimshinda na kuanza kujinyonyoa manyoa bila ya kutakiwa kufanya hivyo, alipomaliza kujipembua, huku akilalamika kwa sauti ya kudai huduma, haraka alimvuta Dokta Kisarawe na kumlalia kifuani mwake, akajiweka sawa tayari kwa mechi kali ya watani wa jadi.

MAMBO NDO YAMEIVA....USIKOSE SEHEMU IJAYO.

No comments:

Powered by Blogger.