MACHINGA MWANZA WAMEANZA KURUDI KATIKA MAENEO YAO.
Moja ya maeneo maarufu Mwanza ya makoroboi wamachinga wameanza kurejea.
Machinga hao wanarudi baada ya rais magufuli kusema wasiondolewe.
Kutokana na sakata la kufukuzwa au kuondolewa kwa Machinga maeneo ya Stand na baada ya kupata maamuzi ya Mh Rais machinga wameanza kurejea katika maeneo yao ya awali..
No comments:
Post a Comment