Trending News>>

Hii ndio ratiba kamili ya Champions League hatua ya 16 bora


UEFA wametoa ratiba ya mechi za hatua ya 16 bora ya michuano ya Champions League. Huku klabu ya Arsenal ambao kwasasa wanafanya vizui wamepangwa kucheza na Bayern Munich, Leicester City watakutana na Sevilla nao Manchester City wakabiliane na Monaco.

Droo kamili:

Manchester City (Uingereza) v Monaco (Ufaransa)
Real Madrid (Uhispania) v Napoli (Italia)
Benfica (Ureno) v Dortmund (GER)
Bayern (Ujerumani) v Arsenal (Uingereza)
Porto (Ureno) v Juventus (ITA)
Leverkusen (Ujerumani) v Atlético (Uhispania)
Paris (Ufaransa) v Barcelona (Uhispania)
Sevilla (Uhispania) v Leicester (Uingereza)

No comments:

Powered by Blogger.