Trending News>>

HARMONIZE Anunua Kiwanja, Ajipanga Kushusha Ghorofa Hili Hapa

Pichani akiwa na mama yake na madalali wa kiwanja hicho..

Mwanamuziki Harmonize aliyoko chini ya lebo ya Muziki ya WCB Ameweka picha katika mtandao wake wa Instagram akionyesha kiwanja alichonunua na ramani ya mjengo wa Gorofa anaopanga kuujenga hivi karibuni....

No comments:

Powered by Blogger.