Trending News>>

Barcelona Yaitandika Osasuna 3-0 La Liga


Samuel Umtiti wa Barcelona akimtoka Oriol Riera wa Osasuna katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa El Sadar, Pamplona mjini Irunea. Barca imeshinda 3-0 mabao ya Luis Suarez dakika ya 59 na Lionel Messi mawili dakika ya 72 na 90

No comments:

Powered by Blogger.