Trending News>>

Mwanamuziki Nuh Mziwanda Akata Shauri...Amuoa Msichana Huyu Kimya Kimya


Mkali wa wimbo Jike Shupa, Nuh Mziwanda ameingia kwenye list ya mastaa wa bongofleva waliofunga ndoa mwaka 2016 baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae

Muimbaji huyo ambaye zamani alikuwa anatoka kimapenzi na Shilole amefunga ndoa kimya kimya huku akijiandaa kwa ajili ya kufanya sherehe kubwa.

Mastaa wengine waliofunga ndoa hivi karibuni ni pamoja na Nyandu Tozzy, Tunda Man, Mabeste pamoja na wengine wengi.

No comments:

Powered by Blogger.