MAFUNZO YA SIKU TATU YA BIASHARA KWA VIJANA, FURSA ZA VIJANA PAMOJA NA TARATIBU NA SHERIA ZA KUFANYA BIASHARA NDANI YA SOKO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAFUNGULIWA JIJINI DAR.
Afisa Mradi, Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka shirika lisilo la Kiserikali la ‘The Foundation For Civil Society’ Nasim Losai, akifungua rasmi Mafunzo ya siku tatu ya Biashara kwa Vijana , Fursa za Vijana pamoja na Taratibu na Sheria za kufanya Biashara ndani ya Soko Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mafunzo hayo yaliyoshirikisha Vijana wajasiliamali kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania yanatarajia kumalizika keshokutwa Nov 23, 2016.
Sehemu ya Washiriki wakisikiliza kwa makini wakati wa ufunguzi huo.
Sehemu ya Washiriki wakisikiliza kwa makini wakati wa ufunguzi huo.
Mkufunzi, Leons Mtana, akitoa mada yake ya kuendeleza uwezo wa Mjasiliamali.
Mafunzo yakiendelea.....
Mkufunzi akiendelea kumwaga nondozzzz
Meza Kuu wakifuatilia mada....zilizokuwa zikitolewa ukumbuni hapo
Mkufunzi na mmoja kati ya waratibu wa mafunzo hayo, Mwajuma Hamza, akitoa mada wakati wa mafunzo hayo yaliyoanza leo Nov 21, 2016 kwenye Hoteli ya BluePearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yanatarajia kumalizika Nov 23.
Mwezeshaji Peninnah Rashid Tenga, akiendelea kutoa mada ya somo lake wakati wa mafunzo hayo katika Hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam.
Mwezeshaji Peninnah Rashid Tenga, akiendelea kutoa mada ya somo lake wakati wa mafunzo hayo katika Hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam.
Waratibu wa Mafunzo hayo wakiwa katika picha ya pamoja na Washiriki baada ya ufunguzi rasmi.
No comments:
Post a Comment