Trending News>>

Utitiri wa kodi wakimbiza wawekezaji

Dar es Salaam. Utitiri wa kodi kwenye sekta ya utalii ndiyo sababu inayowakwamisha wawekezaji kutoka Ulaya kuwekeza nchini, ripoti ya Umoja wa Ulaya (EU) imebainisha.

Ripoti hiyo imebainisha kuwa ada ya usajili wa kampuni ya kitalii ni Dola 5,000 za Marekani  (Sh10,875,000).

Pia, kampuni inatakiwa iwe na magari matano ya kitalii, hali ambayo ni tofauti na usajili unaofanywa nchini Kenya.

No comments:

Powered by Blogger.