Magufuli amthibitisha Kilaba TCRA
Rais John Magufuli amemteua Mhandisi James Mitayakingi Kilaba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi amesema kuwa uteuzi huo ulianza jana Jumamosi Oktoba 8, 2016.
Mhandisi Kilaba alikuwa akikaimu nafasi hiyo, baada ya uteuzi wa aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Dk Ally Simba kutenguliwa.

No comments:
Post a Comment